Mahitaji
Samaki
Vitunguu swaumu
Tangawizi
Ndimu
Matayarisho
- Osha samaki wako vizuri ukiwa umewatoa magamba yote
- Weka tangawizi,vitunguu swaumu na ndimu kisha subiri dakika chache
- Weka mafuta kwenye kwenye chombo cha kukaangia yakipata moto weka samaki
- Kisha acha waive upande mmoja kisha geuza upande mwengine
- Kisha chuja katika chujio na weka kwenye sahani tayari kwa kuliwa.
No comments:
Post a Comment